Ruka hadi maudhui

Soma. Andika. Furahia.

Hadithi za
kusisimua
kiganjani kwako.

Pakua Kahawa Time usome hadithi kutoka kwa waandishi mashuhuri wa Afrika Mashariki.

Download on App StoreDownload on Google Play
Kwa Waandishi
Msomaji mwenye hoodie ya njano akifurahia kitabu
Soma. Andika. Furahia.
Kahawa TimeAfrika Mashariki
  • Mystery
  • Action
  • Comedy
  • Horror
  • Romance
  • Adventure
  • Animation
  • Drama
  • Fantasy
  • History
  • Sci-Fi
  • Thriller
  • Crime
  • Documentary
  • Musical
  • War
  • Western
  • Family
  • Sport
  • Superhero
  • Biography

Kwa Waandishi

Je wewe ni
mwandishi?

Jiunge na Kahawa Time chapchap uuze hadithi zako.

Msomaji akisoma kwenye tablet yake

Ulinzi wa kazi yako

Tunazuia kunakili (screenshot) na kunakili maudhui (copy) yako kwenye app yetu.

Malipo chapchap

Pokea malipo haraka kwenda simu yako ya mkononi.

Malipo kwa Episode

Wasomaji wana uhuru wa kununua episode moja moja au zote kwa pamoja.

Download on App StoreDownload on Google Play

Kwa Kila Mtu

Ndani ya Kahawa Time

Mtunzi

  • Chapisha hadithi kwa urahisi.
  • Pokea malipo muda wowote kwa urahisi.
  • Shirikisha wasomaji kupitia comments na reviews.

Msomaji

  • Pata hadithi mpya na furahia utunzi wa waandishi mashuhuri.
  • Nunua hadithi toka kwa watunzi waliobobea kiurahisi.
  • Tunza hadithi zako kusoma hata bila internet.
Msomaji akifurahia hadithi kwenye simu akiwa safarini
Download on App StoreDownload on Google Play